Degree ya kwanza ulisoma nini? Na form4 na 6 ulisoma masomo gani na ufaulu ulikuaje?Wana jamvi nawasalimu,bila shaka Mwenye enzi amewaamsha salama salmini.Tuzidi kumshukuru Muumba kwa baraka zote.
Mimi ni mtumishi wa serikali wa kada hizi za chini, sijui reaction kwenye neno (chini). Nilifanikiwa kumaliza bachelor degree miaka kumi iliyopita, ingawaje nilikuwa na wazo la kuendelea kusoma masters lakini pia mambo ya IT nilikuwa nayapenda muda mrefu sana, wakati mwingine nilikuwa najaribu kujifunza mwenyewe mtandaoni. Sasa nawaza walau nikasome IT badala ya. Master, naombeni ushauri wenu.
Je, wenye ujuzi zaidi na mambo hayo.
Asante kwa muda mtakaotumia kusoma na kujibu uzi huu.
acha kuhangaika huku na kule! hebu tulia na Education ilimradi upo kwenye mfumo!Degree Education
Form six arts div 2
So Lengo lako la kutaka kwenda kusoma Diploma ya IT n nini ? Ubaki ufundishe hayo masomo ya IT au uje ubadirishe muundo wa ajiraNi sahihi lakini masomo ya IT yapo shule ya msingi na sekondari kwa syllabus mpya,hiyo ndiyo sababu.
Bila shaka umenipata sasa
Mdogo wangu acha kupoteza muda na pesa kwenda kusoma IT. Nakushauri kasome Masters ya education (Curriculum Development au Management)... Ukirudi kutoka masomoni utakuwa umepata utashi wa channels namna ya kutoka huko kwenye ualimu... Thanks me later for nothing 🤐Ni sahihi lakini masomo ya IT yapo shule ya msingi na sekondari kwa syllabus mpya,hiyo ndiyo sababu.
Bila shaka umenipata sasa
N kweli mkuu bora apige tu masters ya education japo haitambuliki katika salary and kama hauna connection unaweza kaa nayo kwenye kufundisha bila ata kacheo muda mrefu but anaweza Pata fursa kwenye mashirika kuliko poteza muda na diploma ya ITMdogo wangu acha kupoteza muda na pesa kwenda kusoma IT. Nakushauri kasome Masters ya education (Curriculum Development au Management)... Ukirudi kutoka masomoni utakuwa umepata utashi wa channels namna ya kutoka huko kwenye ualimu... Thanks me later for nothing [emoji850]
Asante kwa ushauriMdogo wangu acha kupoteza muda na pesa kwenda kusoma IT. Nakushauri kasome Masters ya education (Curriculum Development au Management)... Ukirudi kutoka masomoni utakuwa umepata utashi wa channels namna ya kutoka huko kwenye ualimu... Thanks me later for nothing [emoji850]
Asante sanaN kweli mkuu bora apige tu masters ya education japo haitambuliki katika salary and kama hauna connection unaweza kaa nayo kwenye kufundisha bila ata kacheo muda mrefu but anaweza Pata fursa kwenye mashirika kuliko poteza muda na diploma ya IT