Nataka niombe kazi South Sudan

hiden

JF-Expert Member
Sep 28, 2015
376
691
Wakuu nataka niombe kazi ya kufundisha vyuo au katika wizara za serikali ya South Sudan.

Mpaka sasa nimetafuta website ya ikulu au wizara yoyote ili nipate Mawasiliano yao lkn sijafanikiwa.
Hivyo msaada pls niweze kufanya maombi, hapa bongo pagumu jaman.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom