Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,741
- 3,316
Sawa roho kuuma ni sehemu ya binadamu ila kiuhalisia ni sawa kulifumbia macho?Hahahaha, sema Tu roho ilikuuma baada ya kumuona na mshkaji mwingine, endeleza udomo zege wako ivo ivo daadeki
Kweli tatizo ni mimi ndo maana mpaka sasa sijamwambia yeyoteTatizo hapo ni wewe mkuu huyo dem alikuwa na genyeee wewe umemwacha sasa na yeye hataki kujiunga chaputa ndio maana katafuta plan B wewe mwache tu
Asa mbona hutoi ushaurihauna lolote
Kwanza wewe utakuwa ni domo zege
Kimsingi, hapo kinacho kudrive ni wivu tu
Narudia tena NI WIVU TUUUUU
Kama ulikuwa na nia ya kumuondoa sawa. lakini kwasababu hii unayoleta hapa, nakuhakikishia, sikiliza moyo wako, ni wivu tuu
mwache aendelee ila mwambie asifanyie hapo home ..Kwasababu ukisema uendeleze wewe familia ikijua msala kwakoKweli tatizo ni mimi ndo maana mpaka sasa sijamwambia yeyote
ila je ni sawa nikimuacha aendelee na huo mtindo maana bado yupo na inaonekana ndo kashanogewa
1. Acha wivu, acha udomo zegeAsa mbona hutoi ushauri
huyo binti ni nani yako hadi aje home kwako theni unataka kumpiga miti?Kweli tatizo ni mimi ndo maana mpaka sasa sijamwambia yeyote
ila je ni sawa nikimuacha aendelee na huo mtindo maana bado yupo na inaonekana ndo kashanogewa
Ko nisimpige stop asirudi?mwache aendelee ila mwambie asifanyie hapo home ..Kwasababu ukisema uendeleze wewe familia ikijua msala kwako
Una stress sana ndugu,kwanini unateseka??????Bavicha ni zero brain
Mamake aliwai kulelewa hapa hom kipindi icho ila hatuna undugu wa damuhuyo binti ni nani yako hadi aje home kwako theni unataka kumpiga miti?
kama sio ndugu yako piga miti acha ujinga
Hapa umentukana hujatoa maelekezo1. Acha wivu, acha udomo zege
2. Acha wivu, acha udomo zege
3. Wivu mbaya sana, achaaaaaa
Huo ndo ushauri wangu