AbuuMaryam JF-Expert Member Joined Dec 26, 2015 Posts 2,653 Reaction score 4,758 Jan 25, 2017 #1 Guys nilikuwa naomba msaada wenu...nasoma LLB mzumbe...na ningependa nihamie LLB UDSM 2nd Semester this year 2017 au 2nd Year 2017-18...when will it be possible and how...!? Please nasikiliza majibu na maoni yenu.
Guys nilikuwa naomba msaada wenu...nasoma LLB mzumbe...na ningependa nihamie LLB UDSM 2nd Semester this year 2017 au 2nd Year 2017-18...when will it be possible and how...!? Please nasikiliza majibu na maoni yenu.
mzee wa giningi JF-Expert Member Joined Nov 1, 2016 Posts 519 Reaction score 336 Jan 25, 2017 #2 Utapata shida sana
AbuuMaryam JF-Expert Member Joined Dec 26, 2015 Posts 2,653 Reaction score 4,758 Jan 25, 2017 Thread starter #3 mzee wa giningi said: Utapata shida sana Click to expand... Shida ni lazima...lakini ningependa nijue je inawezekana...na kama inawezekana ni muda gani...na nipitie njia zipi...!?
mzee wa giningi said: Utapata shida sana Click to expand... Shida ni lazima...lakini ningependa nijue je inawezekana...na kama inawezekana ni muda gani...na nipitie njia zipi...!?
mzee wa giningi JF-Expert Member Joined Nov 1, 2016 Posts 519 Reaction score 336 Jan 25, 2017 #4 DsmicSound said: Shida ni lazima...lakini ningependa nijue je inawezekana...na kama inawezekana ni muda gani...na nipitie njia zipi...!? Click to expand... Nenda udsm ukaulizie kama kuna chance
DsmicSound said: Shida ni lazima...lakini ningependa nijue je inawezekana...na kama inawezekana ni muda gani...na nipitie njia zipi...!? Click to expand... Nenda udsm ukaulizie kama kuna chance
Tamama JF-Expert Member Joined Mar 15, 2016 Posts 887 Reaction score 1,107 Jan 25, 2017 #5 Sidhani kama inawezekana binafsi sijawahi sikia na ingekuwa rahisi kila mtu angehamia chuo akipendacho mradi ana vigezo
Sidhani kama inawezekana binafsi sijawahi sikia na ingekuwa rahisi kila mtu angehamia chuo akipendacho mradi ana vigezo
mzee wa giningi JF-Expert Member Joined Nov 1, 2016 Posts 519 Reaction score 336 Jan 25, 2017 #6 DsmicSound said: Shida ni lazima...lakini ningependa nijue je inawezekana...na kama inawezekana ni muda gani...na nipitie njia zipi...!? Click to expand... Kama udsm kuna chance unaandika barua mzumbe ya kuhama chuo
DsmicSound said: Shida ni lazima...lakini ningependa nijue je inawezekana...na kama inawezekana ni muda gani...na nipitie njia zipi...!? Click to expand... Kama udsm kuna chance unaandika barua mzumbe ya kuhama chuo