Pure Scientific
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 716
- 644
Hahah hapo mwenza ndo atarudi nyuma...cha msingi atafute wadau wenye spirit kama yako hapo chuo atatoboa tu muda mwingine ukipambana mwenyewe inakuwa ngumu kutoka ila ukikutana na watu wenye historia na uzoefu mbalimbali ni nzuri.Tafuta mwenza ambaye ni mpambanaji
Asante mkuu kwa ushauri wako mzuri nimeupendaKupachukia kwenu ni kosa..
Umetazama Tu umasikini
Je kwenu hamna upendo?
Hamna values zozote zile zaidi ya kuwa masikini?..
Ni vizuri u make peace na hili kabla ya kuanza
Kutafuta..
Appreciate walichokupa kwenu Hadi umeweza kuwaza kutafuta..
Na appreciate ulivyo navyo tayari..
Afya ya mwili
Afya ya akili
Elimu ..na vingi Tu
Usiwaze hela na bata ukaacha kuthamini vya muhimu
Ubarikiwe sana mkuu Asante sana kwa ushauri mkuu1 Rudi nyumbani ukasalimie.
Nyumbani Ni nyumbani
2 mawazo na stress si suluhisho la matatizo na changamoto unazopitia
3 Fanya kazi yoyote hata Kama iko nje ya fani yako..kupitia huko Mungu atakubariki.
4 Hakuna aliyeanza juu..hata hawa wenye mafanikio makubwa ukiwasikiliza utagundua Kama walianzia chini.
Usikate tamaa,usichoke kujaribu...Hakuna biashara iliyokuwa ya mteremko tu bila misukosuko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kila ninapohitaji kurudi home wanalalamika Juu Ya umasikini walionao na hii ndo unifanya nisipende kurudi nyumbaniRudi nyumbani kusalimia kila mara upate na baraka za wazee
kutokurudi nyumbani hakukjfanyi kuwa tajiri ila tu wazazi wako wanabaki wananung'unika na kuumia roho
Go Slow
Acha kukimbia majukumu, kama umepata kasistaduu na ulishaweka muonekano wa mambo safi sasa umewaza unampelekaje kwenu, unaona upange.Habari za mchana Wana MMU.
Tukiwa tunaendelea kupambana na hili janga la Corona tunaamini ya kuwa Mungu atatufanyia wepesi na kuvuka katika hili.
Kilichonileta humu ndani ni Ushauri wa mawazo wakuu kwa hali ninayopitia kwa sasa.
Hiko hivi Mimi ni kijana mwenye miaka 25 na pia ni mwanafunzi wa course mojawapo ya Afya
Kutokana na ugumu wa maisha nyumbani nimejikuta napachukia sana kwa kuwa mimi ndo naamini inabidi nifanye jambo ili nitoke kwenye hali hiyo ya umasakini Juu ya familia yangu
Kilichonileta hapa wakuu zangu naomben ushauri wenu Juu ya Maisha yangu kwa kuwa
1. Nimejikuta sipendi tena kukaa na kuyaona mazingira ya nyumbani nina mwaka wa Tatu sijawahi rudi nyumbani
2. Nimekuwa ni mtu nikifikiria mafanikio ya haraka sana nje hata na fani yangu ninayesoma Kuna Muda nimejikuta nafikiria nifanye vitu nje na kitu nikisomacho
3. Nimekuwa mtu wa mawazo Muda mwingi na nisiyependa ukaribu na watu si marafiki wala Ndugu nipo kwenye very Great Depression Juu ya Maisha yangu
4. Pindi nikiwa nasoma nimejaribu kufanya mambo mengi ikiwemo biashara na kilimo na hivi vyote vimebuma
Wakuu na fight niwe na maisha Ila natumia nguvu nyingi sana hata sielewi Pa kuanzia..
Msaada wa Mawazo wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app