Naomba unifahamishe hilo eneo liko wapi?Kinachonitia moyo ni hivi vilabu vya pombe.
Ila nikikumbuka wenyeji wengi wa hapa ni watu wa kutoka pemba.
Najikutaka nasita kidogo.
Kama kuna mwenye uzoefu na maeneo kama haya anisaidie uzoefu kidogo.
hao wanakula wala usijali muda wote wanapenda kula kulaWakuu, kuna sehemu imechangamka sana.
Pilikapilika za watu ni karibia 24 hours.
Eneo hili kuna vilabu vya pombe vingi sana.
Kwa ufupi hapa ni uswahilini.
Sasa nataka niwawekee kitimoto rost na ugali.
Changamoto ninayoiona hata kabla sijaingia kwenye hii biashara ni watu wa eneo hili.
Asilimia kubwa ni watu wenye asili ya kutoka Pemba, na wote tunajua watu wenye asili ya kutoka huko imani yao ni ipi.
Kuna yeyote ana uzoefu na maeneo kama hayo kwa biashara hiyo?
Sasa kama ingekuwa hao watu wa kutoka Pemba ni tatizo kungekuwa na biashara ya pombe katika hivyo vilabu?Kinachonitia moyo ni hivi vilabu vya pombe.
Ila nikikumbuka wenyeji wengi wa hapa ni watu wa kutoka pemba.
Najikutaka nasita kidogo.
Kama kuna mwenye uzoefu na maeneo kama haya anisaidie uzoefu kidogo.