Nataka NAPE ujibu hili

Akiwa mwanza alitutukana vibaya mno sasa angekubali? Tunaham naye we acha tu
 
kama bingwa akakae meza moja na EL ingawaje wapo chama hichohicho na asipoangalia huyo jamaa atammaliza bila yeye kujua yameanzia wapi. Asifikiri EL anampenda Nape, muda wowote atammaliza tu anamvutia pumzi na sasa ndiyo hasira zimepanda na mkwewe kukosa ubunge.:bounce:
 
Kulikon bwn Nape??????????????!!!!!!!!!!!!!!!!
Au ndio tuseme from HERO to ZERO?
 
Kwakweli Nape umetutia aibu vijana, naamini unaimani Mungu yupo katubu upate kusamehewa lasivyo dhambi hii itakutafuna na familia yako yote.

Mimi namuomba Mungu afanye hivyo.
 
Nape siku hizi umekuwaje ndugu yangu? kuna kipindi nilikuwa nakuona shujaa balaa!
hasa kipindi kile Lowasa alipoingiza ufisadi kwenye lile jengo la vijana pale Lumumba!
sasa hivi umekuwa mtu wa ajabu sana!

Lowasa keshamshika sehemu nyeti.
 
Nape bonge msaliti arumeru umekaa meza moja na mafisadi alafu leo utamdanganya nani kuwa wewe mpinga ufisadi?we mnafiki
 
Nape hana jipya ni mnafiki sana,ni kibaraka wa LOWASSA,ndiyo mana alienda kumpigia kampeni mkwewe wa LOWASSA.
 

Nimemsikia huyu jamaa wanayemwita eti Katibu Mwenezi wa Propaganda na Uongo wa CCM almaarufu NNEPI NAUYE. Hakika maneno anayotamka yanadhihirisha huyu jamaa ni NEPI hasa ya mtoto. Nnepi Nauye hakika ni HAMNAZO NA NDO MAANA wakti mwingine watu humwita ni VUVUZELA LA CCM!!!

Utakanushaje kuwa waliofanya huu unyama zidi ya Waheshimiwa Wabunge wa CDM si wana CCM au wafuasi wao? Wewe siyo Polisi na wala hukuwepo Mwanza kwenye tukio! Sasa unapoanza kupuliza Vuvuzela kuwa siyo kweli inaonyesha tu kwamba your IQ is very shallow resembled to that of a chicken. Nnepi Nauye you're a fool and hopeless figure in CCM. Nonsense!
 


ni kweli hata mimi nimemsikia akikanusha kuwa ccm hawakuhusika ktk hilo na hata mkuu wa polisi mwanza nae kadai kuwa polisi walifanya kazi yao ipasavyo baada ya kupewa taarifa

lakini sasa ukija kwa wahusika waliopigwa mapanga wao wanasema kuwa,wakati wanavamiwa polisi walikuwepo karibu na ilifikia hatua mbunge mmoja alishika mguu wa polisi ili achukue silahaa kwa kupambana na wavamizi cha kushangaza polisi huyo alitumia nguvu na kumrusha mbunge kwa wavamizi,--inashangaz asana na hata walipofika ktk kituo cha polisi mkuu wa polisi aliwaeleza waadhirika kuwa walitegemea polisi wafanye nini kwa wakati ule

pale muhimbili wabunge waliovamiwa wanasema kuwa wanawafahamu kwa sura na majina wahusika waliofanya tukio hilo na hata kuwataja baadhi ya ndugu za diwani kuwa walihusika na baadhi wakiwa ni makada wa ccm


Nape,kemeeni magenge hayo kwani leo imetokea kwa hao kesho yaweza kuwa kwako
 
nape, ndugu yangu acha kufagilia vitendo visivyofaa vita kuharibia status yako bure, kwani kukamatwa wanatoa rushwa ni sawa na kuendesha vichapo kama vya wabunge wa mza? tuwe na utu jamani
 
Jamani kwani mlitegemea hiyo nepi iseme nini zaidi ya aliyosema ndio mwisho wa unafiki umekaribia ila mungu ni mwema malipo ni hapa hapa duniani, mutayaona muda si mrefu.tuwasamehe hao magamba kwani hawajui wafanyalo.
 

kaka
nimemsikia wakati akihojiwa na BBCSWAHILI
ktk maelezo yake ameshangaa sana tukio lile kuhusishwa na CCM lakini pia akajiuliza iweje saa tisa usiku wabunge kuzunguka mitaani bila kuwa na ulinzi wowote ule,akasema ccm hifurahishwi na tukio hilo lakini lisihushwe na CCM

Kama ulimsoma zitto juzi akiwa hospital mwanza alimwona kijana ambae mwanzo kijana yule alisema kuwa ni mwana CDM lakini ktk mazingira ya kutatanisha alikuja mwenyekiti wa chama ccm wilaya kumjulia khali kada wake ambae kwa kinywa chake alidai kuwa ni CDM na alikuwepo ktk tukio husika,lakini ZITTO aliwaeleza polisi kuwa kijana huyo ni lazima achukuliwe maelezo kabla hajatolewa hapo hospitalini
 
Nape siku hizi umekuwaje ndugu yangu? kuna kipindi nilikuwa nakuona shujaa balaa!
hasa kipindi kile Lowasa alipoingiza ufisadi kwenye lile jengo la vijana pale Lumumba!
sasa hivi umekuwa mtu wa ajabu sana!

Huyu Nape ni mnafikiki tu. Anajua kuropoka tu bila kujua hata anaongea nini. Kijana yeyote mwenye roho ya uanamapinduzi akishaingia ccm anakuwa km mbwa wa polisi. Tusitegemee Nape kuongea maneno yenye busara. Amekwisha huyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…