LEGE JF-Expert Member Joined Oct 14, 2011 Posts 5,122 Reaction score 9,223 Sep 13, 2013 #41 kweli hii hatarii ukisikia tumekutana kimjini mjini tuachane kimjinimjini bana.mambo ya digital hayo mchumba na mke hatongozwi na mdomo tena bali kazi ya kutongoza kwa sasa ni vidole na keyboard
kweli hii hatarii ukisikia tumekutana kimjini mjini tuachane kimjinimjini bana.mambo ya digital hayo mchumba na mke hatongozwi na mdomo tena bali kazi ya kutongoza kwa sasa ni vidole na keyboard