Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
Wakuu mimi nipo Moshi Mjini.
Nataka kuanzisha mradi wa mashine ya kusaga na kukoboa.
Mashine nzuri ni yenye mortor yenye ukubwa gani ? Na kinu chenye ukubwa gani ?
Gharama za kununua zikoje ukijumlisha na ufungaji wake ?
Asanteni