mangonjoli
Senior Member
- Aug 29, 2012
- 154
- 110
Mswahili bwana nimetoa ombi unakuja na vijembe . kama hujawahi kusafiri zaidi ya Tanzania kaa kimya wasafiri watakuja tu.Siku ukinunua Gari nadhani utaomba namba za CEO wa Toyota.
Mswahili bwana nimetoa ombi unakuja na vijembe . kama hujawahi kusafiri zaidi ya Tanzania kaa kimya wasafiri watakuja tu.
Inaonekana wewe ni wahapa hapa hujui hata principal za Safari . Ushamba mzigo ndio nyie mnaovamia miji ya watu bila Information za waliowatanguliaSasa kama uliwahi kusafiri unakuja kuuliza nini? Si ubebe begi uondoke.
Ushamba tu, unasafiri kwa kutegea maoni ya watu.
Inaonekana wewe ni wahapa hapa hujui hata principal za Safari . Ushamba mzigo ndio nyie mnaovamia miji ya watu bila Information za waliowatangulia
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Taratibu za kisheria zinajulikana wapi pa kwenda ili kuhakiki taarifa zako kabla hujaondoka kwenda kwenye mataifa ya watu, inaonekana awali uliwahi kusafiri basi tumia uzoefu wa zamani uende bila kutangaza kwa watu.
Kwenda tu kwa wavimba macho na kurudi na pikipiki umefungua uzi ungekuwa na umepata Scholarship si ungechora tatoo ya huko uendako!
Najua una ushamba mwingi ila jifunze kuuzuia sio. Pia sio kila mtu anataka kusafiri kwenda nje ya taifa lake wewe kama unaenda kwa shughuli zako nenda usitake kila mmoja awe kama wewe kwenda nchi za watu kujiuza.
Mswahili bwana nimetoa ombi unakuja na vijembe . kama hujawahi kusafiri zaidi ya Tanzania kaa kimya wasafiri watakuja tu.