Baada maisha kuwa magumu kwetu sisi mashetani, nachelea kusema kwamba, bora nikaishi jela kuliko huku uraiani. Maisha yamekuwa magumu sana. Usalama wetu umekuwa ni mdogo sana.
Hakuna ajira, Kwa hiyo ili nisiende kuiba na kuuawa, bora nijipeleke jela moja kwa moja. Kwani kule mtukufu Rais amepeleka neema, billion 10. Kwa hiyo maisha yatakuwa mazuri jela kuliko uraiani. Baba ni bora utupe fursa ya kwenda kuishi jela ili kuepukana na ugumu huu wa maisha huku mtaani