Watu wanakuhurumia tu. Mwanangu; Elim ni mambo yote. Asikudanganye mtu kuwa elim si kitu. Hata ukifanya uasherati,ukaanza kujiuza kule instagram, huwezi kuweka picha yako ka hukusoma. Hiyo kitu utawauzia wanywa gongo tu, beer utaisikia tu.
Nakushauri, nenda shule ili hata ukifanikiwa kuupata huo umodel ukipata nafasi ya kwenda South, ujue wakikuita...