Hapa umevuka mipaka, kwa hiyo kama wako malaya hata wake zetu malaya??????????? Jibu haraka......Adhafu Tarimo ngiktunsirye heshima nduve....Li watretra madhema nikiiiiiiiiiiiiHv kwa nini manesi siku hizi wamekuwa malaya sana?
hahahahaha uwiiiii wazee wafunzeni jando vijana wenu,wanawaabisha kabisa.
Mmh, labda swali ni nani unayempenda kiukweli?
hahahah....ukidundwa miye simooooo...si unawajua hao jamaa eenh
Kweli lazima tulaumiwe hapa....Katuvua nguo hadharani. Ametuaibisha kiasi kisichoelezeka.
mnhhhhhh
hukuwa serious,akakolea
ulipokuwa serious yeye hakukolea..
is this a joke?
kosea njia utaelekezwa lakini usikosee kuoa kwani machungu na majuto itakuwa sehemu ya maisha yako be serious brother kama unachukulia suala la kuoa kama hali ya kawaida itakula kwako tulia vizuri na jipe muda haiwezekani mkutane na mtu kazini tena ndani ya muda mfupi eti mnataka kufunga ndoa your joking jipe muda wachunguze vizuri ndio uje na jibu kuwa utamwoa yupi kati ya hao wawili kwani huyo nesi naye anaonekana ni walewale huyo mwingine hujatoa ufafanuzi juu yake pia mshirikishe mungu kwani biblia inasema nyumba na mali ni vitu ambayo mtu hurithi kwa babaye mke mwema hutoka kwa bwana.hahahah....ukidundwa miye simooooo...si unawajua hao jamaa eenh
mwenzenu nilimuhaidi mwanamke mmoja kuwa ntamuoa
nika anza kazi bahati nzuri nikawa nime pangiwa kituo kimoja na dem mmoja mzuri ,cha ajabu demu akanikubali
Hv kwa nini manesi siku hizi wamekuwa malaya sana?
,lla sikuwa serious sana yeye aka kokolea zaid ,nikamaliza chuo na yeye akawa tayari amehitimu ,aka anza kazi wakatimimi bado ,akaanza kunipotezea,namimi nikawa nimekolea,nika anza kazi bahati nzuri nikawa nime pangiwa kituo kimoja na dem mmoja mzuri ,cha ajabu demu akanikubali na mm nimemwelewa kinoma,yule nurse amekuja kasi anataka ndoa siku yoyote,nifanya je?nibwage nurse,au huyu mpya tunae fanya nae kazi,,,
JAMANI SIJUI PEPO AU TAMAA AMA UPENDO,mwenzenu nilimuhaidi mwanamke mmoja kuwa ntamuoa tukiwa kidato cha tatu nae tukahitimu ,akan sarit kwakuwa nilikuwa sikutulia eti alikuwa akini vumilia tu ,akamua kumrudia mpenz wake wakwanza nikambembeleza akakataa niakaenda chuo yeye akaenda kusoma nursing tukawa tume poteana kwa mda wamwaka 1 aliko enda kusoma akahama kwa bahati nzuri akahamia mkoa nao soma mimi alikuwa hajui kama mimi nasoma huko,siku ya siku tukaonana ,akashindwa kujizuia tuka salimiana basi tuka anza stori kwakuwa nilikuwa nampenda ,nikamtongoza mara ya pili akakubari,na nika muahid kumuoa,lla sikuwa serious sana yeye aka kokolea zaid ,nikamaliza chuo na yeye akawa tayari amehitimu ,aka anza kazi wakatimimi bado ,akaanza kunipotezea,namimi nikawa nimekolea,nika anza kazi bahati nzuri nikawa nime pangiwa kituo kimoja na dem mmoja mzuri ,cha ajabu demu akanikubali na mm nimemwelewa kinoma,yule nurse amekuja kasi anataka ndoa siku yoyote,nifanya je?nibwage nurse,au huyu mpya tunae fanya nae kazi,,,
wewe kweli utakua una shida ya hali ya juu!nani amekupa mamlaka kuwatusi wauguzi wote?Hv kwa nini manesi siku hizi wamekuwa malaya sana?