Hahahah,aiseeee mbavu sinaaaaaaaa.we utakuwa dalali na bado hujakabidhiziwa kazi rasmi
Ladyfurahia mpenzi wangu nakupenda sana swahiba.mkuu kama nyumba ni yako ungetuambia wewe myewenye bei ila nina mashaka yanaonekana wewe ni dalali usiyejua hiyo nyumba inagharamuje halafu nina mashaka pia hiyo nyumba itakuwa ina ulakini ayani itakuwa ina utata wa ukoo isijeuziwa mbuzi kwenye kiroba cha mkeka ahalafu baada ya muda unakuwa umekaangwa kwenye flypan hapo sasa utaomba ardhi ididimie chini ili uende huko maana utakuwa ushatapeliwa kidizaini
Watafute madalali watakwambia
Ladyfurahia mpenzi wangu nakupenda sana swahiba.
Ila leo umetuonyesha kwamba umenunua Smart phone mpya tena ya kisasa na ipo kwenye majaribio.
Maana hakuna hata kituo (Punctuation)kimoja kwenye post yako.
Poleni na pilika wadau! Nina Nyumba yangu jirani na Neruka, nataka kuiweka Sokoni,tatizo ni kuitathmini kujua market value, ni two bedroomed hse ilijengwa toka 1998 ukubwa wa eneo ni miguu 15/17 approx, eneo halijapimwa. Naomba mwanajamii mwenye kujua please, nijurishe nifanyeje ili nifanikishe zoezi hili. Asante. Contact. 0712 477976.

Mimi nina mil. 30