Nataka kuuza mkopo kati ya crdb or postal bank

shonkoso

JF-Expert Member
Mar 13, 2015
671
1,426
Mimi ni mtumishi wa umma,nilikopa kiasi Fulani benk Fulani,nimebakiza kidogo kumakizia,he inawezekana kuuza mkopo kwa benki tajwa hapo juu,msaada nipo kijijini,sina mawasiliano nao
 
Crdb kipindi cha nyuma walikuwa wananunua mikopo ya posta hatma yake posta ikawa inakosa wateja, nadhani walilalamika BOT, kwa sasa hivi ukitaka kukopa either of the bank unatakiwa salary slip yako iwe plain kwa maana usiwe na mkopo wa benki nyingine otherwise kopa anywhere kasawazishe mkopo wako dhen ukope bank unayoihitaji
 
Back
Top Bottom