Nataka kuua kazi za wahindi

Asa'rile

JF-Expert Member
Jun 29, 2012
438
120
Haiwezekani kazi zooote za Designing, Printing zing'ang'niwe tu na akina Hanne Kemcho!
kwa Mabilioni ya Mashilingi ....wazalendo wenzenu Hatimaye tumeamkia walikolalia magaba-chor.
Wallah ingia hapa:
zerubabelli@yahoo.com uone bei za kutupa kwa Designing and Printing ZOTE.
Nakwambia watarudi Bombay
 
Haiwezekani kazi zooote za Designing, Printing zing'ang'niwe tu na akina Hanne Kemcho!
kwa Mabilioni ya Mashilingi ....wazalendo wenzenu Hatimaye tumeamkia walikolalia magaba-chor.
Wallah ingia hapa: zerubabelli@yahoo.com uone bei za kutupa kwa Designing and Printing ZOTE.
Nakwambia watarudi Bombay

hapo kwenye black unaposema ingia hapa unamaanisha nini...?!!
 
Wakati na Majira ya wazawa kumiliki Uchumi wetu.. Uwadie mara ngapi?..This is the Time to arise and shine
...huko Jamana..sijui Patel printers kuna nini cha ajabu? .akina Kemcho Lazima waishie Punjab wallah
we ingia hapa
zerubabelli@yahoo.com
 
Bado sijaelewa bado, naona kama heading inamapungufu halafu maelezo nayo bado giza!!
 
Ndio ujumbe wako usingefika mpaka uongeze chembe chembe za kibaguzi au?
 
Wakati na Majira ya wazawa kumiliki Uchumi wetu.. Uwadie mara ngapi?..This is the Time to arise and shine
...huko Jamana..sijui Patel printers kuna nini cha ajabu? .akina Kemcho Lazima waishie Punjab wallah
we ingia hapa
zerubabelli@yahoo.com

jaMANI HUYU JAMAA SIJUI KAFANYAJE AU KAMA KUNA MTU AMEMTUMIA AU NDO WENYE UJUZI WA KOMPYUTA, NIMEKUTA NIMETUMIWA PM NA HUYU JAMAA KWAMBA NIMETUMIA LUGHA ISIYOPENDEZA NIMEANDIKA "KAZA BUTI MWANAWANE" KWAKWELI SIJAPENDA, EBU ANGALIENI KTK HII THREAD KAMA NIMEANDIKA VITU VYA NAMNA HIYO JAMANI? ZAID YA KUSEMDA NAOMBA AJIRA, THEN COMENT YA PILI NAUNGA MKONO KUTOMUELEWA..SIKUJUA KAMA WATU WANAMATATIZO KIASI HIKI.
 
Ndio ujumbe wako usingefika mpaka uongeze chembe chembe za kibaguzi au?
lakini hata wao wahindi pia ni wabaguzi, mtu akinipiga kofi simgeuzii shavu la pili, najitetea kwa njia yoyote ile, maandiko yanasemala usidhulumu wala usidhulumiwe, la tathlimoona wala tuthlamoona!
 
lakini hata wao wahindi pia ni wabaguzi, mtu akinipiga kofi simgeuzii shavu la pili, najitetea kwa njia yoyote ile, maandiko yanasemala usidhulumu wala usidhulumiwe, la tathlimoona wala tuthlamoona!

Kwanza sio Wahindi wote wabaguzi, kwa hiyo kukejeli,kushambulia ama kushutumu Wahindi wote hakuna uhalali wowote.

Pili, sioni vipi unajitetea kwa kueneza ubaguzi wakati wa kutangaza biashara yako.

Tatu, kabla hujakatiwa fatwa hapo ni la tadhlimuna wa la tudhlimuna
 
Aah, ni wewe? Habari za Mabwepande, au kwani uko wapi?

Well, nimesema Wahindi, sikusema Wahindi wote, ni wabaguzi, kama ambavyo tunasema Wajerumani wa nchi ya Hitler wabaguzi, bila ku specify wangapi, japo tunajua hawakuwa wote.

Aidha, mimi amenivutia kama mteja manake amenionyesha atani treat tofauti na nilivyozoea Wahindi, na soko kubwa ni la wazawa, wahindi wachache wataokimbia tangazo lake watapunguza kikombe baharini.

Tatu, hiyo tadhlimuna wa la tudhlimuna yako ni lugha gani hiyo?
 
Aidha, mimi amenivutia kama mteja manake amenionyesha atani treat tofauti na nilivyozoea Wahindi, na soko kubwa ni la wazawa, wahindi wachache wataokimbia tangazo lake watapunguza kikombe baharini.

Ulichozungumza mwanzo ni kujitetea sio kuvutia.

Na hilo la kukuvutia haishangazi, kwa sababu mbaguzi mmoja kumvutia mbaguzi mwengine kutokana na kuunganishwa na nadharia yao ya kibaguzi kwa jamii fulani, ni kawaida.

Well, nimesema Wahindi, sikusema Wahindi wote, ni wabaguzi, kama ambavyo tunasema Wajerumani wa nchi ya Hitler wabaguzi, bila ku specify wangapi, japo tunajua hawakuwa wote.

Unasema wewe na nani? Hakuna justification katika kufanya ubaguzi, iwe kwa anaewasema Wahindi [japo hajaainisha wote] au anaesema Waafrika ni wajinga [japo hajasema kuwa ni wote]

Ubaguzi unazaa chuki, na hizo zinaweza kupelekea watu kupoteza uhai.....Rwanda ilikuwaje?

Mwenye macho haambiwi tazama
 
.........Season for Wazawa to take Full possession is Now....Full stop.
yaani we ingia hapa:
zerubabelli@yahoo.com
 
Back
Top Bottom