Wakuu nimenunua server nataka kuinstall server ya windows na ubuntu zifanye kazi kwa wakati mmoja kwa kutumia vmware. nataka windows kwaajili ya application za kawaida na ubuntu kwaajili ya kuhost web based application inawezekana? cc KangCTO

Unataka server iwe na GUI (kijani)? Why? Hapo ktk red unamaanisha web server kama Apache? Anyway it is possible ila sioni kwa nini utake kufanya hivyo!

Why? Apache can run on Windows server or Ubuntu one and so is many other applications. Its like "I have a new house I want LG fridge as well as ZTC" It does not make much sense to me!