Nataka kutembelea Comoro

Nataka kutembelea Comoro

Mzee wa kurekebisha

Senior Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
178
Reaction score
170
Wakuu naombeni kwa aliyewahi kwenda huko anipe maelezo ya ziada
ni mambo gani ya kutahadhari, sifa na miji na ukarimu wa watu wake
na asisahau kunieleza kuhusu hali ya amani ya nchi hiyo.

Nimeamua tu kwenda kutalii huko.
 
Ni salama, watu wakarimu, wanaongea kingazidja. Mji mzuri kufikia ni Moroni

Ukitaka zaidi, uliza kitu specific mm nimekwenda huko mara kadhaa.
 
Ni salama, watu wakarimu, wanaongea kingazidja. Mji mzuri kufikia ni Moroni

Ukitaka zaidi, uliza kitu specific mm nimekwenda huko mara kadhaa.
Mkuu hata mimi natamani kwenda huko vipi wanaweza kiswahili maada wale wadada wa huko ninaokutana
nao kariakoo naona kama wanaiongeaongea vile!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom