Nataka kusoma electrical engineer

Nataka kusoma electrical engineer

Mwemary

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2016
Posts
330
Reaction score
340
Jamani wadau naomba mnisaidie kuhusu coz ya electrical engineer naitaji kusoma coz ya Electrical engineer Chuo cha kikuu mbeya MUST Naomba ufafanuzi juu ya ajila na kujiajiri
 
Jiandae kujiajiri
 
Badili kichwa cha habari. Inaitwa ni Electrical Engineering(Uhandisi wa Umeme) as Opposed na Electrical Engineer(Mhandisi wa Umeme)
 
Ila si umeelewa au ndo kujifanya ujuaji
 
Jamani wadau naomba mnisaidie kuhusu coz ya electrical engineer naitaji kusoma coz ya Electrical engineer Chuo cha kikuu mbeya MUST Naomba ufafanuzi juu ya ajila na kujiajiri
Karibu sana hapa we wakike au wakiume???
 
Back
Top Bottom