Kutoa ni moyo nduguMwenyewe bado hujajizatiti. Unakimbilia shobo mtandaoni
Wazo zuri sana kijana,nikudokeze kuwa mara nyingi watu tunashindwa kuelewa tumefanikisha tulivyo labda kielimu,kikazi nk siyo kwa sababu sisi ni tofauti sana na wengine ila ni kwa kuwa Mungu ametaka hivyo kwa sababu zake maalum. Inawezekana wewe uko hivyo ili uje umtoe huyo dogo sehemu alipo ili na yeye akafanikishe kusudi jingine la Mungu pengine. Kwa kifupi tupo duniani kufanikisha ya Mungu siyo yetu
Na moyo huo Hana hahahaMwenyewe bado hujajizatiti. Unakimbilia shobo mtandaoni
Mwache mwenzio ajitolee maana keshasema ye mwenyewe hajui zinakujaje.Mwenyewe bado hujajizatiti. Unakimbilia shobo mtandaoni
Kejeri ya nini jamaa yani kama vile bandiko kakuletea weweMwenyewe bado hujajizatiti. Unakimbilia shobo mtandaoni
Umeandika kwa hekima sana mkuu. GoodWazo zuri sana kijana,nikudokeze kuwa mara nyingi watu tunashindwa kuelewa tumefanikisha tulivyo labda kielimu,kikazi nk siyo kwa sababu sisi ni tofauti sana na wengine ila ni kwa kuwa Mungu ametaka hivyo kwa sababu zake maalum. Inawezekana wewe uko hivyo ili uje umtoe huyo dogo sehemu alipo ili na yeye akafanikishe kusudi jingine la Mungu pengine. Kwa kifupi tupo duniani kufanikisha ya Mungu siyo yetu