Nataka kurudia Physics

Nataka kurudia Physics

master of cities

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2015
Posts
429
Reaction score
626
Habari wadau nimemaliza form four nikapata div 2 ya 21, ila sikusoma physics...ndo nataka nirudie hilo somo moja tu....

Je inawezekana? Kama wakitaka masomo mawili naweza nikasoma Physics na Civics maana civics ndo nilipata D.

Pia mwenye kufahamu vituo vizuri vya kurudia kwa Dar, Mwanza au Arusha anijuze.

karbuni kwa ushauri wadau.
 
Nawaambiava vijana kila siku kuacha phys ni kukinyonga hawaelewagi

Unaruhusiwa kurudia masomo mkuu
 
Back
Top Bottom