Nataka Kurudi Shule Kidato cha pili

Nataka Kurudi Shule Kidato cha pili

Ni ngumu Kama hana nia ya dhati,lakini Kama ana nia na anajua kichwa iko smart ni rahisi tu.Binafsi nimetumia njia hiyo,nilianza,QT 2009 pale Sinza kuna kituo/tution ilikuwa inaitwa Tanganyika Edu Consult Centre,sikukwama popote mpaka nimegraduate 2015.
Hivo kwa mtu yoyote mwenye nia ya kweli anaweza bila Shaka.
Hongera aisee
 
Ukituliza kichwa ndani ya miaka mitatu unakuwa upo kidato cha sita

Na maana mwaka huu unafanya mtihani Wa maarifa QT (2018)

Ukifaulu QT mwakani utafanya mtihani wa kidato cha NNE(2019)

Ukifaulu mtihani Wa kidato cha nne(2021) utafanya mtihani wa kidato cha sita

Ukifaulu mtihani wa kidato cha sita (2021) unaenda chuo kikuu

Kwahiyo unaweza kurudi shule na ukafanya vizuri tu
Labda Kama Anataka Kusoma Art Ila Kama Anataka Asome Science Na Kwa Ratiba Hii Unayompa Atadondokea Pua Mwache Aludie Cha Pili Akimaliza Apge Six
 
Mkuu Soma Ila Jua Kwamba Ajira Ni Ngumu Hvo Soma Ukijua Hilo Kama Vp Jikite Zaidi Kwenye Elim Itakayokufanya Ujiajiri Pia Uajiriwe
 
Back
Top Bottom