Nataka Kurudi Shule Kidato cha pili

Nataka Kurudi Shule Kidato cha pili

frank boaz

Member
Joined
Mar 7, 2017
Posts
9
Reaction score
1
Wakubwa Nisaidien nataka kurudi Shuleni Kidato cha pili Nisaidieni Vigezo ninavyotakiwa kuwa navyo
 
Ukituliza kichwa ndani ya miaka mitatu unakuwa upo kidato cha sita

Na maana mwaka huu unafanya mtihani Wa maarifa QT (2018)

Ukifaulu QT mwakani utafanya mtihani wa kidato cha NNE(2019)

Ukifaulu mtihani Wa kidato cha nne(2021) utafanya mtihani wa kidato cha sita

Ukifaulu mtihani wa kidato cha sita (2021) unaenda chuo kikuu

Kwahiyo unaweza kurudi shule na ukafanya vizuri tu
 
Ukituliza kichwa ndani ya miaka mitatu unakuwa upon kidato cha sits

Na maana mwaka huu unafanya mtihani Wa maarifa QT (2018)

Ukifauru QT mwakani utafanya mtihani Wa kidato cha NNE(2019)

Ukifauru mtihani Wa kidato cha nne(2021) utafanya mtihani Wa kidato cha sita

Ukifauru mtihani Wa kidato cha sits (2021) unaenda chuo kikuu

Kwaiyo unaweza kurudi shule na ukafanya vizuri tu
Ukiwa unaongea ni rahisi sanaa... Kwa vitendo ndo pagumu apoo..... ayo mambo ni kufungua moyo
 
Bado hujachelewa kama kwel una nia thabiti kutafuta elimu. .kwenye elimu kikubwa ni kujituma na kua na nia thabiti kuitafuta. .
Watu tulianza form one tukiwa na umri wa kutosha tu na mambo yakaenda
 
Ukiwa unaongea ni rahisi sanaa... Kwa vitendo ndo pagumu apoo..... ayo mambo ni kufungua moyo
Inawezekana kama ana nia so simple cha msingi awe na uhakika Wa maradhi, makazi na chakula , inawezekana kabisa
 
Inawezekana kama ana nia so simple cha msingi awe na uhakika Wa maradhi, makazi na chakula , inawezekana kabisa

Nia anayo.Ila nia tu haitoshi

Je ana uwezo?Nia na uwezo ni vitu viwili viendavyo pamoja

Je nini kilimfanya asikamilishe/afeli mwanzoni?Ameshakitatua?Kazi ni kwake

Kama una uwezo rudi shule ila kuwa makini usije rudi shule ukaja pata stress umepoteza muda
 
Ukiwa unaongea ni rahisi sanaa... Kwa vitendo ndo pagumu apoo..... ayo mambo ni kufungua moyo
Ni ngumu Kama hana nia ya dhati,lakini Kama ana nia na anajua kichwa iko smart ni rahisi tu.Binafsi nimetumia njia hiyo,nilianza,QT 2009 pale Sinza kuna kituo/tution ilikuwa inaitwa Tanganyika Edu Consult Centre,sikukwama popote mpaka nimegraduate 2015.
Hivo kwa mtu yoyote mwenye nia ya kweli anaweza bila Shaka.
 
Kigezo ni kuwa na akili timamu.kajiandikishe kwenye kituo cha QT.mengine utayapata huko huko.
 
Upo sawa tu by the way ukiwa na cheti cha form four mambo mengi itasaidia ila sikushaur uende advance
 
Back
Top Bottom