Bukanga
JF-Expert Member
- Dec 13, 2010
- 2,857
- 1,937
Akihojiwa katika kipindi cha Siasa za Siasa, Afande ambaye ni mtia nia ya Ubunge Morogoro mjin kupitia ACT amesema anataka kwenda bungeni ku-demonstrate kuwa kazi ya ubunge inawezekana bila kuchukua marupurupu mengi wanayopata wabunge.
Kwamba yeye atachukua shilingi 500,000 tu kwa mwezi hata kama atalazimishwa kuchukua maposho yote hatochukua....
Kuhusu tofauti ya ujamaa enzi za Mwalimu Nyerere na huu wa ACT ni kwamba Ujamaa wa ACT ni ujamaa wa kidemokrasia kwasababu wao wanaruhusu watu kumiliki mali...
Tazama kupitia EATV