Nataka kupiga Rangi Gari yangu

Nataka kupiga Rangi Gari yangu

NI MTAZAMO TU

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
1,203
Reaction score
1,001
Naomba kujuzwa, mafundi wazuri kama ilivyo kazi ya wachina, maana natamani sana kazi hii nimpe mtanzania mwenzangu ili kupeana life,

Swali langu ni wapi wanapaka Rangi nzuri na kazi kama ya wachina..?
 
Tabia njema ungetusaidia wengi kama unge locate hapahapa ubaoni maana hata mimi nina hilux yangu napenda niweke rangi tena maana imefifia sasa tusaidie if you dont mind.
 
Mimi mkubwa napatikana mwenge na gari yangu ni toyota Avensis rangi sliver metalic inaweza cost kiasi gani..kwa faida ya wengi jibu hapa kisha nikutafute.
 
mbona mtu mwenyewe hajibu? issue kama hii angekua anajibu public hapa..sio mambo ya kukimbilia PM, pm pm..au kuna issue za utapeli pia kwenye hili.
 
Kujua garama za kupiga rangi ni lazma uione gari yenyewe. Lazima ina maeneo ya kunyooshwa kidogo so hali ya gari ndo itapendekeza kiasi cha gharama zinazotakiwa
 
Yaani km bodi lake liko so luxury bora ulipeleke huko kwa wachina maana wabongo ukiingia choo cha kike gari itapigwa rangi km malaya aliyejizisha poda usoni hutolitaman tena
 
Kweli mkuu, gari yangu moja ilianguka arusha, nikaenda ikavutwa mpaka kwa mswahili mwenzangu jina la GEREJI nalitunza , nikaondoka, mwezi mzima kurudi nkakuta imepakwa rangi kama kichaa alikuwa anachezea, imehibiwa rubber za kuzunguka wind glass na mota ya maji, site mirror ya ajabu wamepachika! Nkaona ujinga, ikatolewa ivo ivo mpaka kwa muhindi, gari ilitafutiwa mafundi kama6 ivi nikaambiwa njoo baada ya wiki, nilienda kuchukua GARI, IKO KAMA MPYA yani rangi imekolea zaidi ya ilivotoka japani!! Ndugu zangu niliingia gharama Mara mbili, na muhindi alinieleza ilivokuwa na puti mbichi, miezi 9 ingepauka nikaikimbia!! CHEAP IZ EXPENSIVE!!
 
pls niambie ni kwa garage gani (muhindi) ulipeleka? nami nataka gari yangu ipigwe rangi, I agree cheap is expensive!
 
Nakushauri upeleke makumbusho kwa wa Korea au pale temeke sokota kwa wachina, tatizo la garage za wa bongo nyini hazina compressor kubwa kwa kupulizia rangi, pili wakisha piga puti nene mojakwamoja wanataka wasawazishe na puti nyembeba yakumalizia kabla haijakauka, hili linasababisha baadae rangi kuvimba au kubanduka...unaweza pata fundi mzuri ila akawa hana vitendea kazi epson
 
Last edited by a moderator:
UnGeKuWa ArUsha NiNgeKuShaUri UpEleKe kwa jAmmAa mmOja AnaItwa SHaRmaa ni NomA gAri InatoKa Kama pimp mY ride Vile
 
Wakuu kuna gereji ipo ilala hawa jamaa ni wakali wa rangi hususan metallic
 
Nakushauri upeleke makumbusho kwa wa Korea au pale temeke sokota kwa wachina, tatizo la garage za wa bongo nyini hazina compressor kubwa kwa kupulizia rangi, pili wakisha piga puti nene mojakwamoja wanataka wasawazishe na puti nyembeba yakumalizia kabla haijakauka, hili linasababisha baadae rangi kuvimba au kubanduka...unaweza pata fundi mzuri ila akawa hana vitendea kazi epson

Shukrani mkuu!
 
Kweli mkuu, gari yangu moja ilianguka arusha, nikaenda ikavutwa mpaka kwa mswahili mwenzangu jina la GEREJI nalitunza , nikaondoka, mwezi mzima kurudi nkakuta imepakwa rangi kama kichaa alikuwa anachezea, imehibiwa rubber za kuzunguka wind glass na mota ya maji, site mirror ya ajabu wamepachika! Nkaona ujinga, ikatolewa ivo ivo mpaka kwa muhindi, gari ilitafutiwa mafundi kama6 ivi nikaambiwa njoo baada ya wiki, nilienda kuchukua GARI, IKO KAMA MPYA yani rangi imekolea zaidi ya ilivotoka japani!! Ndugu zangu niliingia gharama Mara mbili, na muhindi alinieleza ilivokuwa na puti mbichi, miezi 9 ingepauka nikaikimbia!! CHEAP IZ EXPENSIVE!!

Mkuu nadhani ingekuwa vema kama ungetoa mawasiliano ya hiyo fundi.
 
Kweli mkuu, gari yangu moja ilianguka arusha, nikaenda ikavutwa mpaka kwa mswahili mwenzangu jina la GEREJI nalitunza , nikaondoka, mwezi mzima kurudi nkakuta imepakwa rangi kama kichaa alikuwa anachezea, imehibiwa rubber za kuzunguka wind glass na mota ya maji, site mirror ya ajabu wamepachika! Nkaona ujinga, ikatolewa ivo ivo mpaka kwa muhindi, gari ilitafutiwa mafundi kama6 ivi nikaambiwa njoo baada ya wiki, nilienda kuchukua GARI, IKO KAMA MPYA yani rangi imekolea zaidi ya ilivotoka japani!! Ndugu zangu niliingia gharama Mara mbili, na muhindi alinieleza ilivokuwa na puti mbichi, miezi 9 ingepauka nikaikimbia!! CHEAP IZ EXPENSIVE!!

Mkuu nadhani ingekuwa vema kama ungetoa mawasiliano ya huyo fundi.
 
Back
Top Bottom