Mtoto huyu ana kipaji kikubwa Sana ila ukimwangalia vizur ni mchezaji anaecheza mpira Kama hobby tu, Anacheza kisuperstar. Huyu anapaswa kushauriwa kuangalia mbele. Na huu ni ugonjwa wa wachezaji wengi wa tz, hawana vision.Mwangalie msuva wa mwaka juzi, mwangalie singano alimpigisha kadi nyekundu kelvin Yondani. Tz tuna vipaji vingi tatizo hawajitambui. Siamini Kama samata ni the most talented player, wapo watu wanamzidi ili tofauti ni kwenye nidhamu, kuheshim kaz na kujitambua. Ajibu akipata hvyo hawez kucheza Tanzania tena. Vinginevyo ni Boban wa pili