Nataka kuoa mwanamke wa pili

Pole sana na pole tena na tena, hakuna rangi utaacha kuona
sawa uzuri ww siyo MUNGU waislam wanaoa mke zaid ya mmoja wapo maisha yako poa tu, wapo wenye mke mmoja mambo ni mazto so ni sehemu ya maisha tu kuna kaka yng alikuwa na mkewe nje tulikuwa tunaona wako poa kumbe huko ndani ni aibu kuyasimulia kbs..
 
Tatizo siyo wewe au huyo mkeo. Tatizo anaekuja.
Soon utakuwa timu kataa ndoa wakati sasa unafurahia ndoa.
Wanawake wazuri wengi sana ila wake wazuri hutoka kwa Bwana.
Ukioa wa pili huyo wa kwanza utachapiwa sana.
 
Mkuu kama mna amani na huyo mwanamke, usianze kutaka kuichokonoa hio amani, achana na hayo mawazo, utachoma meli na utakuja kujuta, maana hapo unaoa kwa tamaa za mwili tu na sio maisha. Sasa nakushauri kua mwanaume kweli, kidhi tamaa zako za mwili nje bila kuathili ustawi wa mkeo na famili. Hakikisha hajui. Utachoma kibanda, nimemaliza
 
NIMEKUPATA KAMANDA
 
Adam alikua na mmoja tuu na akamshinda

Endelea na mipango ila usisahau kujiandaa na yajayo
 
Adam alikua na mmoja tuu na akamshinda

Endelea na mipango ila usisahau kujiandaa na yajayo
je hakuna wanaume wenye wake wawili na wanaishi vzuri tu na wapo wny mke mmoja na mambo ni mazto wapo au hawapo?
 
je hakuna wanaume wenye wake wawili na wanaishi vzuri tu na wapo wny mke mmoja na mambo ni mazto wapo au hawapo?
Mimi ushauri wangu, huna haja ya kuoa mke wa pili kisa tu huyo wa kwanza hana sura.
Cha kufanya wewe tafuta kamchepuko kako karembo haswaa kenye sifa unazotaka uwe unajipigia. Ukiona kanaanza kuzingua unatafuta kengine hivyo hivyo maisha yanasonga.
 
Kama mwanamke uliye naye hakusumbui nakushauri usioe mwanamke wa pili kama anakusumbua oa mwanamke wa pili, anyway sku anashuka kwenye ndege ukamuona siyo ungezingua mda huo huo babu , unfemghatamia kila ktu ukamrudisha kwa madiba , ila kama umeamua kuwa naye na hakusumbui usioe mke mwingine bora uwe na michepuko tuu , ila kama anasumbua oa ,
 
Mimi ushauri wangu, huna haja ya kuoa mke wa pili kisa tu huyo wa kwanza hana sura.
Cha kufanya wewe tafuta kamchepuko kako karembo haswaa kenye sifa unazotaka uwe unajipigia. Ukiona kanaanza kuzingua unatafuta kengine hivyo hivyo maisha yanasonga.
talifanyia kazi, bt si kwamba mwanamke wng ana sura mbovu hpn kawaida tu si unajua watoto wa singida bt kuna vitu alikuwa anajiongezea ambavyo hakuwa navyo.
 
HASUMBUI.
 
Mkuu inaonekana unapenda sana kuoa,yani wewe kila ukiamka unawaza kuoaa!
Endelea kitu kizito kinakuja soon.
 
Nimesoma uzi wako,lakini je wewe ni dini gani? je dini yako inaruhusu kuoa mke wa 2?
Kuoa tu kwakuwa una uwezo,sio sawa.Kwakuwa ushaoa na huyo mkeo ni mwema tu,ila hana ule uzuri unaoupenda,pia sio busara.Tafakari sana jambo na usilifanyie papara
 
sawa kaka talifanyia kazi jambo uliloniandkia.
 
Matajiri wana mwanamke mmoja na watoto 3 ila masikini akipata hela anaoa mke wa pili
 
Matajiri wana mwanamke mmoja na watoto 3 ila masikini akipata hela anaoa mke wa pili
au siyo kwaiyo kila mwny wake wawili ni masikini? Kila tajiri ana mke mmoja, matajiri wa wp hao unaowasema wa ulaya au afrika? Ujue kutofautisha utamaduni wa asia, afrika, ulaya hasa linapofka swala family.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…