we oa tu usitushirikishe Sisi ujinga wakoWakuu kamwene, mwamishaga.
Iko hivi nlipata mdada mmoja kwenye group la kabila letu nikampenda nikamwambia anitumie picha akawa anatuma picha ambazo kumbe ni edited si halisia mdada alikuwa south africa huko na nduguye nikamshawishi aje tuanze maisha kweli akakwea pipa mpk dsm nikampokea aisee nlipomuona nikagundua zile picha alikuwa ana edit tu kweli skumpenda sa naanzaje kumwambia kwamba mi sjakupenda ikabidi nikubaliane na hali halisi kwmb huu ni mzigo wangu sina budi kuubeba tulipumzka na kesho yake tukasafiri kwenda kwao nikajtambulisha nk nk nikaondoka naye mpk kwangu huu ni mwaka wa 4 kwa kweli ni mwanamke mtii sn uzuri pia mi sipigagi mwanamke kbs nikampa mtaji wa biashara anaendelea vema sn na anajituma hana tatzo kwa kweli. Sasa nimeamua kutoka moyoni takuwa na wake wawili yan taoa mwngne wawe wawili kila mtu na mji wake na yeye simuachi abaki kuwa mke wangu mkubwa na mdogo atakuwepo naahidi nitawapenda na kuwatunza wote kama wake zangu. JE WAKUU MNAONAJE?
Jifunze kufanya maamuzi kwa kutumia akili yako vizuri na usipende kushikiwa akili. Umeoa mke wa kwanza halafu wa pili unataka ushauriwe?? Wewe si ndiyo unajifahamu ??JE WAKUU MNAONAJE?
Jiandae kupata storkeWakuu kamwene, mwamishaga.
Iko hivi nlipata mdada mmoja kwenye group la kabila letu nikampenda nikamwambia anitumie picha akawa anatuma picha ambazo kumbe ni edited si halisia mdada alikuwa south africa huko na nduguye nikamshawishi aje tuanze maisha kweli akakwea pipa mpk dsm nikampokea aisee nlipomuona nikagundua zile picha alikuwa ana edit tu kweli skumpenda sa naanzaje kumwambia kwamba mi sjakupenda ikabidi nikubaliane na hali halisi kwmb huu ni mzigo wangu sina budi kuubeba tulipumzka na kesho yake tukasafiri kwenda kwao nikajtambulisha nk nk nikaondoka naye mpk kwangu huu ni mwaka wa 4 kwa kweli ni mwanamke mtii sn uzuri pia mi sipigagi mwanamke kbs nikampa mtaji wa biashara anaendelea vema sn na anajituma hana tatzo kwa kweli. Sasa nimeamua kutoka moyoni takuwa na wake wawili yan taoa mwngne wawe wawili kila mtu na mji wake na yeye simuachi abaki kuwa mke wangu mkubwa na mdogo atakuwepo naahidi nitawapenda na kuwatunza wote kama wake zangu. JE WAKUU MNAONAJE?
😹😹😹Mwambie sura yake huipedi kwanzia leo muongee kwa videocall hata ukiwa nyumbani ili aweke filter uliyoipenda
Wenzako wanafikiria kuongeza biashara wewe niupuuzi tuWakuu kamwene, mwamishaga.
Iko hivi nlipata mdada mmoja kwenye group la kabila letu nikampenda nikamwambia anitumie picha akawa anatuma picha ambazo kumbe ni edited si halisia mdada alikuwa south africa huko na nduguye nikamshawishi aje tuanze maisha kweli akakwea pipa mpk dsm nikampokea aisee nlipomuona nikagundua zile picha alikuwa ana edit tu kweli skumpenda sa naanzaje kumwambia kwamba mi sjakupenda ikabidi nikubaliane na hali halisi kwmb huu ni mzigo wangu sina budi kuubeba tulipumzka na kesho yake tukasafiri kwenda kwao nikajtambulisha nk nk nikaondoka naye mpk kwangu huu ni mwaka wa 4 kwa kweli ni mwanamke mtii sn uzuri pia mi sipigagi mwanamke kbs nikampa mtaji wa biashara anaendelea vema sn na anajituma hana tatzo kwa kweli. Sasa nimeamua kutoka moyoni takuwa na wake wawili yan taoa mwngne wawe wawili kila mtu na mji wake na yeye simuachi abaki kuwa mke wangu mkubwa na mdogo atakuwepo naahidi nitawapenda na kuwatunza wote kama wake zangu. JE WAKUU MNAONAJE?
Wakuu kamwene, mwamishaga.

Oa tu mkuuWakuu kamwene, mwamishaga.

kuhusu sura hapana mbona mwanamke wng ni mzuri tu ni mnyaturu si unajua watoto wa singida ila mi skumpenda tu baada ya kumuona live kuna vitu alikuwa anajiongezea ni hvyo tu khs kuongeza wa pili nadhan tamuweka mbali sn na huyu wa kwanza kila mtu na maisha yake, khs ulozi MUNGU ATANITETEA kama akniacha niangamizwe bs.Unataka kuongeza mahangaiko na mastress kwenye maisha yako hadi unakufa kisa sura? Kumbuka you will never have the same amani uko nayo, mke wa kwanza hatokupenda tena kama anavokupenda saivi, yaan akiamua kubaki na wewe ni ile ilimradi watoto wakue ila sio sababu ya ndoa na mapenzi, hamtaongea na kupanga pamoja kwa upendo kama zamani, mke mdogo ndo ataingia na yake atavuruga kila anachoona kiko sawa kivurugike, kumbuka pia wanawake weengi saivi wanapenda urogi yaan kiufupi utakuwa umeingia Gaza ndogo hadi unaingia kaburini
Pole sana na pole tena na tena, hakuna rangi utaacha kuonakuhusu sura hapana mbona mwanamke wng ni mzuri tu ni mnyaturu si unajua watoto wa singida ila mi skumpenda tu baada ya kumuona live kuna vitu alikuwa anajiongezea ni hvyo tu khs kuongeza wa pili nadhan tamuweka mbali sn na huyu wa kwanza kila mtu na maisha yake, khs ulozi MUNGU ATANITETEA kama akniacha niangamizwe bs.