Kweli nimeamini ubaguzi kila kona Duniani hupo , hata sisi Waafrika tena ndio tunaongoza .. maana ubaguzi wetu wa kuchefuka rohoni kabisa. Watu wanatoa kauli kali sana humu. Wananuka, watoa maji, jamani humu ndani pia kuna Wahindi ndugu zetu je wanajisikiaje?mleta uzi kaomba ushauri , kama mtu yupo na Zana basi amtupie mleta uzi hili akamilishe ndoto yake.Sio kutoa kauli chafu kwa Watanzania wenzetu wenye asili ya Asia .