Nataka kuoa Muhindi!

Usiende huko, baki hapa hapa. Unataka muhindi jina au rangi au jina?
Muhindi tu! hata akiwa mweusi lakini awe muhin di mwenye asili ya uhindi hasa!

Siku hizi wahidi wanamegwa tu mkuu.
Mbona bongo hapa wahindi kibao tu wanajiuza! Cha msingi jamaa ataweza mana nasikia hawa wenzeni ni full chemchem maji 24 hrs. Inahitaji mpiga mbizi hayseee, jamaa akajifunze kwanza diving.

Duh! Yana ushahidi haya mambo?

HIVI, unataka kuona au kuishi na mwanamke tu? NDOA si mchezo bwana ile ni taasisi ambamo watu wawili wenye akili timamu na umri unaokubalika kisheria kuamua kwa hiari yao kuishi pamoja.... katika raha na tabu...
Nakushauri ukue kwanza...
Mkuu unakusudia nitimize miaka 60 ya kustaafu?

nafikiri culture yao inawafanya wanaume engi wa kibongo kugwaya, mwanaume gani kamili atakubali kutolewa mahari? na wanachagua wazazi au msichana unalo hilo

kuna jamaa yangu hapa dodoma anaitwa dogo nyenze kaoa kalasinga.

mtafute atakupa maujanja anakaa nkuhungu.

Gahahaha anakaa nkuhungu anamilik mabucha ya nyama.

Mbona nasikia alimpata kiujanja ujana.
Though jamaa anaskendo ya kumroga ankoli yake kufanikisha biashara zake.

Naona haupo siriaz kwa mchango wako.

Kaka yangu alikuwa anaishi India na akaoa hukohuko, alikufa kama miaka miwili baada ya kuoa.. Ilielezwa kuwa aliuawa lkn ni maneno ambayo hayakuwahi kudhibitishwa hadi leo, labda kwa sababu ya umbali. Binafsi nimewahi kudate msichana wa kihindi, kwa kweli sikupendezwa naye sana lakini siwezi kugeneralise maana siyo rahisi wote kufanana. Kitu nachojua ni kuwa kila jamii ina 'ukakasi' wake!

Hee!! yaani wote ni hivi? Au baadhi yao.

...Kha!!! ni kwa utafiti au uzoefu mazee??

Usidanganywe mahali inatolewa omba usiambiwe lete mama preemji jumbani gunia kumi ya pilipili bana

Sema uliogopa kudied kama brazaako!!!!!

Safari njema sijui k2 nisiseme uongo ila huenda yalio semwa ni kweli au sikweli cunajua ile adis ya pweza.

Hao wahindi jinsi mnavyowachambua! Duh! Ila hilo la uchafu kila mtu anasema hivyo.

MMMH makubwa haya! utadhani aliwahi kuwaonja hata mara moja! ninachojua mie ni ubaguzi.. mara nyingi indians hawapendi kuchanya rangi na weusi tena hata wao kwa wao wana tabia ya kubaguana sana kwa kuangalia kipato familia tajiri hawataki familia maskini sembuse mtanzania mweusi halafu hana pesa ya uhakika! hapo utashindwa kwa ubaguzi wao

Mliosoma India jamani hebu tuambieni ukweli wa wanawake wa kihindi

Du,kamanda wangu hata mie uwa nawapimia?>japo inabidi uanze kufanya mazoezi ya kula kisamvu{tigo}

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…