Nataka kuoa binti wa kiarabu

Kwahio tatizo ni Dini/Imani na sio ethinicity ?, Sababu hata waarabu wakristo wapo.., swali lako nadhani atakayewe kulijibu ni nyie walengwa na ndugu zenu kama mnaweza kuishi kwa kufuata imani tofauti au mmoja akahamia kwa mwingine. Sababu hata ndoa ya kiserikali bado ni ndoa.
 
Hahahahaaaa, mbona waarabu wapo wengi tu wa kuoa, wapo Luguru, Lalago, Meatu, Mleba, Didia, Tabora, Ngara na kwingineko unaoa tu wala hakuna shida!
he he he, wapo na wa msalala, maligisu na igombe, hawana hiyana. Na dini pia wao wenyewe wanabadili!!

Wa afghanistani au Oman atawapata wapi?
 
Kwa hiyo DEMBA ukiwa mwafrika ndiyo sababu ya kukataliwa kuoa mwarabu?Au ikionekana umechoka ndiyo vikwazo vya kuoa vinatokea?

Sidhani kama skin colour has nothing kwenye relationship!
mimi sijaongelea kabisa habari za rangi kwenye mapenzi bali nimekukoti kutokana na komment yako kudai kwamba ukiwa na pesa tu unaweza kumpata mwanamke yeyote umtakaye. unaweza kupata wanawake wengi lakini sio guarantee kwamba utampata yule unayempenda. ...
 

Astakafirllah wallahi....
 

Mkuu huyo ni mwarabu mweusi au mweupe? Halafu mwarabu rohoni au ndevuni? Hebu weka wazi tukusaidie...
 
Kama ni miongoni mwa wale waarabu ndugu zangu wa Tabora basi hapo ili kupata radhi ya wazazi wake huna budi kubadilisha dini tu hapo utajibebea mzigo lakini kama ni mtoto wa mwekezaji toka Iran, Saudia etc hapo huna chako wewe epusha msongamano tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…