Nataka kuoa binti wa kiarabu

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
41,022
Reaction score
47,115
Nipo na huyu binti wa kiarabu huu mwezi wa nane sasa, kiukweli mi nimeridhika sekta zote bila wasiwasi wowote ule. Sasa ili kumchukua jumla nimeona nikimaliza chuo tu nimchukue mara moja wajanja wasije wakaniwahi.

Ttizo ni moja tu, imani yake na mimi ni tofauti naweza kumuoa tu hivyo hivyo?
 
badilisha dini ili muendane kiimani vinginevyo hutomuoa.
 
bila kanzu na kibarakashee sijui kama utamchukua
 


Tatizo ni kwamba hakuna Mwarabu Dunia Hii ambaye anaweza kuwa na ndoto kama yako yaani ya kutaka kuoa au kuoana na wewe Mwafrika, kwanza kwao ni Aibu na fedheha cha ajabu ni kwamba kwako wewe ni Ni Jambo la Faraja na la kujisifia!
Wamekutupia Ndizi na sasa umeshuka Mtini na kuikimbilia na kuanza kuila...
 
Inategemea ni muarabu wa wapi, muarabu wa kayenze, nyehunge atakubali kubadilisha dini ila kama ni wa oman, saudia, afghanistan jiandae kubadili dini wewe
 

Msemaji wa waarabu!!!
 
funga ndoa ya bomani..... wakizingua sana make a fake marriage!!! thats all!!!
 
Tatizo ni kwamba hakuna Mwarabu Dunia Hii ambaye anaweza kuwa na ndoto kama yako yaani ya kutaka kuoa au kuoana na wewe Mwafrika[/SIZE]

Ni hela tu mkuu!Ukiwa na mpunga wa kutosha unaoa yyt yule hata wale madada wa ki Germans wenye manywele meupe na macho ya bluu wanaosifika mno kwa ubaguzi!

Ni hela tu jamani!Niambie mtu mwenye hela yake mweusi akamtaka kuoa mwarab kakataliwa
 
funga ndoa ya bomani..... wakizingua sana make a fake marriage!!! thats all!!!

Mkuu kwa waarabu? Zaidi ya imani ya dini (kuwa asiye muislam hawezi kumuoa mwanamke wa kiiislam ikahisabika kuwa ni ndoa halali kidini) wana adhere to culture zao ambazo kuchanganya damu na waswahili sijuiii...
 
Wanawake wa kiarabu wanapenda sana kuliwa tigo!!! Siwapendi kwa sababu hiyo,nimewahi kukutana naye mmoja aliniambia kwao Pakistani sasa nilipoomba gemu aliniambia yeye bikra hivyo asingeweza kunipa voda ila akaniambia kama naweza basi nipewe tigo!!! Nilimkimbia sana maana nilimuona ni adui,,,,,!!!!!
 
he he he, wapo na wa msalala, maligisu na igombe, hawana hiyana.

Wa afghanistani au Oman atawapata wapi?

Inategemea ni muarabu wa wapi, muarabu wa kayenze, nyehunge atakubali kubadilisha dini ila kama ni wa oman, saudia, afghanistan jiandae kubadili dini wewe
 
Reactions: ram

mmhhh mkuu mungu anakuona ukidanganya
 
ungejaribu kuuliza hao matajiri kama wote wanaishi na wanawake wanaowapenda zaidi..nadhan unaweza kubadili huu mtazamo ambao umekuwa ukiuhubiri hapa mara kwa mara...
Ni hela tu mkuu!Ukiwa na mpunga wa kutosha unaoa yyt yule hata wale madada wa ki Germans wenye manywele meupe na macho ya bluu wanaosifika mno kwa ubaguzi!

Ni hela tu jamani!Niambie mtu mwenye hela yake mweusi akamtaka kuoa mwarab kakataliwa
 
Kamuulize Fernindes wa ATN si alikua Tanga, fanya mpango ILA najua wapo wa imani yako. Sijui kuwatofautisha Wahindi na Waarabu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…