Wakuu naombeni ujuzi , kwa bajeti ya laki 2 ntaweza kupata pete aina gani? Mimi nipo Dar , ukinielekeza na duka itapendeza zaidi.
Sijui kwa gram zinauzwa, au ni vipi
Nenda mnazi mmoja.Unapotokeaa Kongo.Kuna mataa ya mwanzo Fanya kama unaenda CRDB vijana..mbele kidogo utaona Bango.
Huyo mhindi bei ni poa Na nzuri.
No.zake 0713-213640