goodhearted JF-Expert Member Joined Feb 15, 2015 Posts 1,084 Reaction score 1,412 Sep 8, 2018 #1 wana jamvi nina mpango wa kufanya biashara ya kusaga nafaka. Kwa wenye uzoefu na hii kazi naomba ushauri wa namna ya kupata mashine imara inayotumia umeme, bei zake pamoja na installation ikiwezekana hata na changamoto zake. Karibuni kwa ushauri.
wana jamvi nina mpango wa kufanya biashara ya kusaga nafaka. Kwa wenye uzoefu na hii kazi naomba ushauri wa namna ya kupata mashine imara inayotumia umeme, bei zake pamoja na installation ikiwezekana hata na changamoto zake. Karibuni kwa ushauri.
K kimanganuni JF-Expert Member Joined Dec 14, 2015 Posts 325 Reaction score 172 Sep 8, 2018 #2 Sawa nunua
thandiwe Senior Member Joined Oct 27, 2017 Posts 163 Reaction score 164 Sep 8, 2018 #3 kimanganuni said: Sawa nunua Click to expand... Eh jamani ndio ushauri huu kweli