Msuyar Jr Member Joined Feb 1, 2017 Posts 35 Reaction score 11 Apr 13, 2017 #1 Jamani ndugu zangu, Kwa yeyote anayefahamu jinsi ya upatikanaji wa magari ya abiria aina ya Costa. Naomba kujua gharama zake kwa jipya na yeyote anaejua linapopatikana lilianza kutumika na gharama zake.
Jamani ndugu zangu, Kwa yeyote anayefahamu jinsi ya upatikanaji wa magari ya abiria aina ya Costa. Naomba kujua gharama zake kwa jipya na yeyote anaejua linapopatikana lilianza kutumika na gharama zake.
24hrs JF-Expert Member Joined Aug 11, 2016 Posts 2,632 Reaction score 5,968 Apr 13, 2017 #2 madereva na wamiliki wa hizi gari kalibuni mchangie na mwenzetu msuya avuke lengo 2017.... nafahamu ikiwa mpya mf toyota 60 million
madereva na wamiliki wa hizi gari kalibuni mchangie na mwenzetu msuya avuke lengo 2017.... nafahamu ikiwa mpya mf toyota 60 million
mfetere JF-Expert Member Joined Feb 27, 2014 Posts 251 Reaction score 95 Apr 15, 2017 #3 Yeah na pia kuna coster za kichina na za japan nicheki kwa namba hii 0714787795