Pia mkuu kwanini ume recommend rangi ya silver na nyeupe pekee ??1. Hongera.
2. Chaguo zuri sana.
3. Agiza nje. Faida zake ni nyingi.
4. IST mwaka wowote nzuri ila make sure ni 1.3L FWD achana na 1.5L AWD
5. SBT au Beforward
Kuongezea:
6. Tafuta silver au nyeupe.
7. Anzia kuangalia ushuru kwanza ujue mwaka gani (2002 hadi 2007) una ushuru mdogo ndio huo mwaka katafute online.
8. Usiishie kutafuta tu cheapest online, angalia na hali ya gari (kwa kukagua Auction Sheet na Condition Report, kama hawana izo achana nalo ilo).
Rumuion Gari nzuri sana ni ya kisasa sana. Kuliko hata IST. Kwa mdada itamfaa sana. Ina space kubwa. Haina complications kama magari mengine. Na recommend abadili mawazo aende Na RUMUION. Bei pia ni nzuri kuliko IST.Tafuta premio mdada hutojutia
Rangi ni personal preference ila nyeupe na silver zinafaida zaidi. Kwa kufananisha na rangi kama nyeusi, rangi nyeupe: -rahisi kumaintain -ngumu kuchafuka -cheap kurepair -zinaficha dents na mikwaruzo midogo midogo.Pia mkuu kwanini ume recommend rangi ya silver na nyeupe pekee ??
Mmh maboxRumuion Gari nzuri sana ni ya kisasa sana. Kuliko hata IST. Kwa mdada itamfaa sana. Ina space kubwa. Haina complications kama magari mengine. Na recommend abadili mawazo aende Na RUMUION. Bei pia ni nzuri kuliko IST.
sina baiskeli hata pikipiki ila rumion ina muonekano flani sijawahi kuuelewa aiseeRumuion Gari nzuri sana ni ya kisasa sana. Kuliko hata IST. Kwa mdada itamfaa sana. Ina space kubwa. Haina complications kama magari mengine. Na recommend abadili mawazo aende Na RUMUION. Bei pia ni nzuri kuliko IST.
Picha vipi?Nina IST old DV nnataka 11.5 TU , ruksa kukagua na fundi mpaka mtosheke
Mi ninayonna IST T.559 EED na ni mwanaume kabisa.Kwangu ndo naona nimeuchinja.Ukija kuambiwa unamiliki gari ya kike usilalamike
Safi sana kula MAISHA!! Achana na mastory y kijiweni.Hahaha.
Mi ninayonna IST T.559 EED na ni mwanaume kabisa.Kwangu ndo naona nimeuchinja.
utachekwaHahaha.
Mi ninayonna IST T.559 EED na ni mwanaume kabisa.Kwangu ndo naona nimeuchinja.
Umesema ukweli IST + Ushuru bora kuchukua premio model ile ya katiTafuta premio mdada hutojutia
Model ya kati ndio ikoje hiyo ?Umesema ukweli IST + Ushuru bora kuchukua premio model ile ya kati
Model ya kati ndio ikoje hiyo ?
Hii gari aisee 💥
NiceHii gari aisee 💥
Chukua 9Nina IST old DV nnataka 11.5 TU , ruksa kukagua na fundi mpaka mtosheke