Hapa umemaliza mkuu1. Hongera.
2. Chaguo zuri sana.
3. Agiza nje. Faida zake ni nyingi.
4. IST mwaka wowote nzuri ila make sure ni 1.3L FWD achana na 1.5L AWD
5. SBT au Beforward
Kuongezea:
6. Tafuta silver au nyeupe.
7. Anzia kuangalia ushuru kwanza ujue mwaka gani (2002 hadi 2007) una ushuru mdogo ndio huo mwaka katafute online.
8. Usiishie kutafuta tu cheapest online, angalia na hali ya gari (kwa kukagua Auction Sheet na Condition Report, kama hawana izo achana nalo ilo).
Hapa umemaliza mkuu
FWD ina maanisha ni front wheel drive au ni four wheel drive??1. Hongera.
2. Chaguo zuri sana.
3. Agiza nje. Faida zake ni nyingi.
4. IST mwaka wowote nzuri ila make sure ni 1.3L FWD achana na 1.5L AWD
5. SBT au Beforward
Kuongezea:
6. Tafuta silver au nyeupe.
7. Anzia kuangalia ushuru kwanza ujue mwaka gani (2002 hadi 2007) una ushuru mdogo ndio huo mwaka katafute online.
8. Usiishie kutafuta tu cheapest online, angalia na hali ya gari (kwa kukagua Auction Sheet na Condition Report, kama hawana izo achana nalo ilo).
Mimi ni wa kikeUkija kuambiwa unamiliki gari ya kike usilalamike
Front Wheel Drive. Yaani inavuta matairi ya mbele tu. Just tafuta ya cc 1,300 automatically ni FWD ila ya cc 1,500 zipo za FWD na AWD (All Wheel Drive).FWD ina maanisha ni front wheel drive au ni four wheel drive??
Okay.. so hiyo ya cc 1300 fwd na cc 1500 fwd tofauti ni nini?Front Wheel Drive. Yaani inavuta matairi ya mbele tu. Just tafuta ya cc 1,300 automatically ni FWD ila ya cc 1,500 zipo za FWD na AWD (All Wheel Drive).
Ushauri mzuri kabisa..mleta uzi kama ukihitaji msaada zaidi wa kitaalamu na kuagiza kwa kampuni hizo karibu inbox huduma ni BURE.1. Hongera.
2. Chaguo zuri sana.
3. Agiza nje. Faida zake ni nyingi.
4. IST mwaka wowote nzuri ila make sure ni 1.3L FWD achana na 1.5L AWD
5. SBT au Beforward
Kuongezea:
6. Tafuta silver au nyeupe.
7. Anzia kuangalia ushuru kwanza ujue mwaka gani (2002 hadi 2007) una ushuru mdogo ndio huo mwaka katafute online.
8. Usiishie kutafuta tu cheapest online, angalia na hali ya gari (kwa kukagua Auction Sheet na Condition Report, kama hawana izo achana nalo ilo).
www sbtjapan com au www.japanesevehicles.comWadau habari zenu..
Mimi ni mdada sijawahi kumiliki gari, ndo nataka kununua gari yangu ya kwanza
Nataka ninunue toyota IST old model.
Naombeni ushauri wenu.. ipi ni njia bora kuagiza nje au ninunue showroom za hapa bongo.
Na je, IST ya mwaka gani ndio bora zaidi. Na kampuni gani ni nzuri kuagiza gari?
Note: sitaki kununua gari za mkononi.
Hapo kwenye engine displacement (cc) ni somo jingine, ila kwa ufupi engine displacement (cc) ni kiasi cha hewa na mafuta kinachoweza kuingia kwenye silinda za injini. Ikiwa kubwa (cc nyingi), engine inatoa nguvu zaidi.Okay.. so hiyo ya cc 1300 fwd na cc 1500 fwd tofauti ni nini?
Oooh okay asante sana kwa ushauri.Hapo kwenye engine displacement (cc) ni somo jingine, ila kwa ufupi engine displacement (cc) ni kiasi cha hewa na mafuta kinachoweza kuingia kwenye silinda za injini. Ikiwa kubwa (cc nyingi), engine inatoa nguvu zaidi.
Hiko kiasi kinapimwa kwa sentimita za ujazo (cc = cubic centimeters). Ni kama ukubwa wa mapafu ya injini.
Ila we just nunua IST ya cc 1,300 (1.3L)
IST 2nd hand haureccomendMtoa mada umefanya chaguo Sahihi kabisaa maana kama ni gari yako ya Kwanza IST ndiyo chaguo maana baada ya kupata uzoefu na IST utajua elimu kubwa ya magari.
Ushauri wangu ni Bora uagize Kupitia kampuni pendwa za be forward na SBT Japan
All in all hongera Kwa hatua yako
Watu hawachelewi kukodi chumba na kukifanya ofisi,mtu apigwe fasta,then ofisi itokomee kusikojulikana baada ya malipo ya nusu ya gari hewa.Ogopa KWENDA inbox/Pm y MTU HAPA.
Kazi ni kipimo cha utu.
Mkuu hiyo chuma hata second hand inakuwa poa Tu...Ila kitu cha msingi tafuta IST ukiwa na fundiIST 2nd hand haureccomend