BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
Natamani kuhama hii sayari ya dunia........pale mwanaume anapokuwa anaandika hivi......why why why why........
Preta........Safarini Pluto...........
8 ila namzidi urefu
Shosti pluto sio sayari tena imeganda...usijekufa bureeeee..... labda uishie Jupiter
We Preta...Kwa usafiri gani huko Pluto. Wajanja wa NASA walituma chombo chao kwenda huko miaka kama tisa iliyopita, sasa hivi ndio kimeikaribia; Ukaribu gani ujue, millions of miles away. Sasa wewe na ungo wako,mmh, sijui kwa kweli!. Kwanza cheichei bibie!.Natamani kuhama hii sayari ya dunia........pale mwanaume anapokuwa anaandika hivi......why why why why........
Preta........Safarini Pluto...........