Steven Robert Masatu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2009
- 2,458
- 1,826
bab-D
Nadhani kuna kubwa zaidi ya haya uliyotuambia hadi mke wako akawa na hizo tabia. jichunguze halafu kaa na mkeo mzungumze katika njia tofauti tofauti
1. kirafiki
2. kindugu
3. kifamilia
Sasa hawa jobless wasiolewe atoto?Ndio raha ya kuoa jobless na hukutaka kumtafutia cha kujishughulisha nacho, mvumilie tu(till death do u apart), huyo ndio chaguo na size yako.
Katika uumbaji mungu alimuumba mme kwanza na kisha akamuumba kiumbe kutoka kwenye ubavu wake ili awe msaidizi wake. Na mwanaume ni kichwa cha nyumba na amepewa akili nyingi za kufikiri ili kuweza kuiongoza familia ili khali mwanamke amepewa nguvu nyingi ili ailee familia,
nilichokiona kwako umeshindwa kutumia akili yako uliyopewa na Ndio maana ukaambiwa kuwa mwanamke ni kiumbe dhaifu hivyo ishini nao Kwa akili, Ushauri wangu tumia uwezo wako wa kiakili uliopewa na Muumba
hahahahhahahah, Hizi ndoa zinavituko sana, sasa muende wote yeye anakuwa Field Assistant au? Mkuu waweza kuta wewe nawe michepuko mingi sasa anaamua kuchunga mzigo wake. Mtie mimba atulie nyumbani.
Lol unanichekesha. Kwa hiyo ukimwambia siwezi kwenda nawe kazini anajigaragaza chini analia? Hahaha na wewe akichelewesha chai huwezi kwenda bila chai? Uwiii mbavu zangu mie!
Nenda kazini mwambie chai akae nayo unalipwa mshahara utanunua chai huko au utapitia kwa mchepuko ukanywe! Kwa hiyo wewe huwezi kumkataza mkeo kitu akasikia?
aaah bwana hebu weka sura ya kazi wewe mwanaume bwana! Hahahaaa makubwa mwanaume anakosa sauti kiasi hiki! Hahahaaa ndooooorobo! bora nkanunue gazeti njipepeee!