Munkari
JF-Expert Member
- Feb 9, 2013
- 8,084
- 4,363
Habarini wapendwa! Jaman mapenz haya! Mh! Ni story ndefu ila kwa kifup niliachana naye mwshon mwa mwaka jana baada y kuniambia ameoa ilinium sana but kw ujasiri nkamwmbia aendlee na mkewe aniache kwan altak 2endlee na uhusiano,nikatuplia mbal kumbkumb zake na kujpa moyo atlst ilinisaidia kuondoa machungu moyoni.asa toka juzi nimekuw nikimuwaza sana had nataman kumtafta but najizuia kwan haitanisaidia then ctak ajue kuw nammis japo nilitaman sana awe wangu w maish but nd hvy mung hajapanga.sasa nifanyaje ili NIMSAHAU KABSA?pleease help me!