MR LINKO JF-Expert Member Joined Aug 20, 2016 Posts 3,034 Reaction score 3,587 Jun 27, 2017 #1 jamani hii gari nimeipenda sana sana ila nataka kujua ni aina gani ya gari ili likae moyoni vizuri maana mimi sio mtaalamu sana. nissan murano ipi? maana ukisema murano ziko nyingi
jamani hii gari nimeipenda sana sana ila nataka kujua ni aina gani ya gari ili likae moyoni vizuri maana mimi sio mtaalamu sana. nissan murano ipi? maana ukisema murano ziko nyingi
M Mfikilwa JF-Expert Member Joined Mar 11, 2008 Posts 412 Reaction score 124 Jun 27, 2017 #2 Nissan Murano
MR LINKO JF-Expert Member Joined Aug 20, 2016 Posts 3,034 Reaction score 3,587 Jun 27, 2017 Thread starter #3 Mfikilwa said: Nissan Murano Click to expand... ndio ni nisan murano lakini ni aina gani murano ipi
shatisuruali JF-Expert Member Joined Jul 28, 2016 Posts 966 Reaction score 3,050 Jun 27, 2017 #4 Umeweka picha ambayo jina la gari lipo wazi kabisa kama makalio ya mbuzi halafu unakuja kuuliza hapa.
Umeweka picha ambayo jina la gari lipo wazi kabisa kama makalio ya mbuzi halafu unakuja kuuliza hapa.
MR LINKO JF-Expert Member Joined Aug 20, 2016 Posts 3,034 Reaction score 3,587 Jun 27, 2017 Thread starter #5 shatisuruali said: Umeweka picha ambayo jina la gari lipo wazi kabisa kama makalio ya mbuzi halafu unakuja kuuliza hapa. Click to expand... sio hivyo mkuu nikitafuta murano sipati aina hiyo inakuja ya ajabu ajabu sasa nashindwa jinsi ya kuandika direct na ili nilipate.
shatisuruali said: Umeweka picha ambayo jina la gari lipo wazi kabisa kama makalio ya mbuzi halafu unakuja kuuliza hapa. Click to expand... sio hivyo mkuu nikitafuta murano sipati aina hiyo inakuja ya ajabu ajabu sasa nashindwa jinsi ya kuandika direct na ili nilipate.
Kisu Cha Ngariba JF-Expert Member Joined Jun 21, 2016 Posts 22,130 Reaction score 48,862 Jun 27, 2017 #6 Murano ya 2015