Bwan mdogo hongera sana kwa wazo lako, najua wengi mnapenda kujiunga na jeshi la porini kwa vile kuna mihela (as you think) usijidanganye, kushi porini kama ngiri wala sio ishu. From my experience utapewa hiyo m2 kwa mwezi na ukaishia kupiga pombe na wanawake tu, mazingira yanabadili sana watu. Fanya fani nyingine tu, ila kama unajiona una wito ingia hapa
www.mnrt.go.tz/pasiansi kuna chuo unaweza anza kama ranger then uingie tanapa kama askari. Kwa udaktari sahau, watu wa BVM SUA wako kibao mtaani huwezi compete nao na vyeti vya kuunga unga