Tatemahunda
JF-Expert Member
- Sep 14, 2013
- 232
- 92
habari wana jf!! Mimi ni kijana wa kitanganyika..natamani kufanya kazi TANAPA niwe daktari wa wanyama..kwa sasa nina certificate ya general agriculture ila nataka nikasomee diploma ya mifugo...je! nikiwa na diploma ya mifugo naweza kujiunga na TANAPA??? au hadi niwe na elimu gani?? naombeni mnishauri tafadhali..........

wewe ni mchaga au unatokea tanga?
Mambo haya matatu yakusaidie kufanya uamuzi:
1. Ndoto nzuri sana lakini sijuhi uwe mtoto wa kigogo gani ili ufanye kazi TANAPA!
2. Pia itabidi ukasomee kule Mweka, Pasiansi, Olmotonyi au SUA...
3. Zingatia pointi namba 1 hapo juu
habari wana jf!! Mimi ni kijana wa kitanganyika..natamani kufanya kazi TANAPA niwe daktari wa wanyama..kwa sasa nina certificate ya general agriculture ila nataka nikasomee diploma ya mifugo...je! nikiwa na diploma ya mifugo naweza kujiunga na TANAPA??? au hadi niwe na elimu gani?? naombeni mnishauri tafadhali..........
Wewe Tatemahunda haujipendi au? Pale ukitaka kazi sharti uongee na Kinana ili akupe masharti na ukijifanya unajuwa tu utang'olewa kucha na pliers.
duh!!! ndo sina hata hamu tena na TANAPA mana sina hata ndugu ngazi za juu na sipo tayari kuchezea maisha yangu bahati nasibu...nashkul kwa ushauri