Biashara ya online mkuu inatakiwa kutake risk sana mi nilianza na D9 nkapata hela nikainvest acc tatu bahati mbaya ikatokea mizengwe nikala loss kama 12m! Japo Amazon ilinipa ahueni kurudisha nusu hasara ya D9! But forex naona ipo tofauti na hiz pozi schemes nafikiria kujiunga na mimi pia msisitizo hakikisha mchakato wa kutoa hela kwa njia ya mtandao umeelewa otherwise huwa zinasumbua xana!