Nataka kujifunza ufungaji wa miziki ya kwenye magari

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
69,870
183,907
Habari wadau,
Mara zote maishani huwa tunashauriwa kufanya vitu ambavyo tunavipenda. Hii inasaidia kukuza ufanisi na ubunifu pia.

Binafsi nimekuwa na interest na mambo mawili maishani la kwanza likiwa ni maswala ya I.T ambayo kwa sasa nimesha excel huko ila jingine ni swala la music.

Nilikuwa nikipenda miziki toka utotoni na hata sasa bado napenda sana ila specifically nataka nijikite katika swala la ku engineer huo mziki katika magari ama katika kumbi mbali mbali.

Nipo serious wadau mwenye uwezo wa kunipa elimu juu ya hilo. Kama kushinda gereji na kujifunza ili kupata ujuzi wa hilo kwa gharama zangu nipo tayari.
 
Back
Top Bottom