danifordcharse
Member
- Jan 11, 2017
- 24
- 3
Nataka kujifunza kutoa virus kwenye Android bila kutumia computer inawezeka? NAombeni msaada wenu
Bashite wewePakaa colgate kwnye terminals... then iwashe...
HahahahaahahPakaa colgate kwnye terminals... then iwashe...
Dawa ya ukakika ni kuweka os mpya mkuu basi.Nataka kujifunza kutoa virus kwenye Android bila kutumia computer inawezeka? NAombeni msaada wenu
Pakaa colgate kwnye terminals... then iwashe...
kwel wwe bashiteOs. Ndo nn? KakaDawa ya ukakika ni kuweka os mpya mkuu basi.
Operation system kwa kirefuOs. Ndo nn? Kaka