Anza na hiiHabari ndugu zangu. Nina hamu sana ya kufahamu lugha ya majirani zangu wasambaa. Ni kipaumbele kwangu kwa kweli likija suala la kujua lugha mbalimbali tofauti. Kuna mtu anaweza kunipa mbinu inayoweza kunifanya nijifunze lugha hii kwa urahisi, mfano vitabu...
NnzezeUinuke nzenze
Hakune mbuiNnz
Nnzeze
Tatee n' shida!n'hatai kwei kwei
Mosie Icho nkisambaa ani?ππAu nichia cha kae?Ufunuo wa Yohana View attachment 1087572
Chia chenyewe kabisa.. OliginoMosie Icho nkisambaa ani?Au nichia cha kae?
Chaashesha mia!Chia chenyewe kabisa.. Oligino
Nzasheka mbazu zitouma baba,ivyo visiku mpaka mesho yaiva muiyeπ€£ππππππWoki heudodoa sa visiku....