Nataka kuitisha press conference!

kzba

JF-Expert Member
Jun 19, 2014
1,356
789
Mimi si mtu mashughuli wala sio mwanasiasa ni hatua na taratibu gani za kufuata ili niweze kutimiza azma yangu hiyo bila kuathiri sheria za nchi.
Inahusu nini hilo niachieni mimi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usisahau kutuandalia bahasha za khaki. Tutajitokeza kwa wingi kuja kukusikiliza ndugu Mhishimiwa sana.
 
Waziri UMMY MWALIMU, tafadhali naomba muongeze kwenye listi yenu watu watano waliokutwa na CoronaVirus “LIQUID PUB” akiwemo Kamanda Muslim Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani, pamoja na Pierre Liquid kama mnavyomuana hapo akiwa live kutoka Ilala Amana Hospital
 
Muandikie twita mtag au piga simu kama una nia ya kutoa taarifa ewe raia mwema.

Back
Top Bottom