Nataka kuhama nchi nifanyeje?

Mwambie apambane aache ujinga!
Kwani uko anakotaka kwenda ndio kila kitu kipo cha bure?
Kama amejitambua, ndio muda muafaka wa kupambana na magumu yanayomsibu, huku akimwamini Mungu wa Kweli!
 
Tuliza akili majibu yatakuja. Je kusingekuwa na kwingine kwa kuhama ungefanyeje? Uifanye nchi itufae sote kuishi. Sio kukimbia
 
Mi nahitaji kwenda ulaya au marekani,kwani mi mtanzania mwenye reasoning na siwezi kuishi na watz kwani mna akili za giza ndio maana wengi mmechangia bila logic.Afisa usiende somalia nenda nakotaka kwenda mi mwenzio.
 

Najua kama ulihama kweli basi uko ulipo unafatilia kila kitu hapa nyumbani,now rais Mpya ni Magufuli na adabu imeanza kurejea, tafadhali rudi Nyumbani tuijenge nchi yetu yenye mito ya asali na maziwa.
 
Last edited by a moderator:
akhera a.k.a kizimu...ai sink iz e beta place kwake kuhamia......!

jinsi ya kuhamia!
1.akalale kwene reli
2.akapande kwene transfomer kitumbo wazi
3.asage chupa anywe na maji ya betri..!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…