Nataka kufungua duka la vifaa vya pikipiki

Nataka kufungua duka la vifaa vya pikipiki

Zaiidyao

Member
Joined
Mar 15, 2020
Posts
12
Reaction score
5
Habari zenu ndugu zangu, nina mpango wa kuanzisha duka la vifaa vya pikipiki, ningependa kujuzwa mengi kuhusiana na biashara hii.

Binafsi hadi sasa nina mtaji wa 1m.

Karibuni.
 
So far kuna watu kama 3 nawajua hii biz inawaendea vizuri na wanaonekana. Tho sijawahi wauliza imekaaje

Ngoja tusubiri hapa.
 
Habari zenu ndugu zangu, nina mpango wa kuanzisha duka la vifaa vya pikipiki, ningependa kujuzwa mengi kuhusiana na biashara hii.

Binafsi hadi sasa nina mtaji wa 1m.

Karibuni.
NAKUPA MWONGOZO.
[emoji116]
OIL YA ORYX CARTON MOJA YAUZWA 150,000/-,
WEWE UKIUZA UNAPATA 168,000/-,
KWA HIYO FAIDA NI 18,000/-.
 
Back
Top Bottom